Rustiko wa Clermont
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Rustiko wa Clermont (pia: Rotiri[1]; alifariki nchini Ufaransa, 446) alikuwa askofu wa 8 wa mji huo kuanzia mwaka 424 hivi [2]
Anavyosimulia Gregori wa Tours, alipochaguliwa padri huyo kuwa askofu, umati wa waumini ulishangilia [3].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 24 Septemba[4].
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads