Rustiko wa Paris alikuwa Mkristo wa karne ya 3.

Akiwa shemasi huko Paris (Ufaransa) aliuawa pamoja na askofu Denis na padri Eleutherius kwa kukatwa kichwa kwa sababu ya imani yake[1].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Marejeo mengine
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads