Rustikula
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Rustikula (556 hivi - 11 Agosti 632 hivi) alikuwa abesi wa Arles huko Provence ambaye aliongoza kitakatifu wamonaki wenzake kwa miaka 60 hivi [1].
Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads