Ruth Meena
Mwanaharakati na mwalimu wa haki za wanawake wa Tanzania From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Ruth Meena (alizaliwa mwaka 1946) ni Mtanzania mwanaharakati na mwalimu kwa miongo mitatu katika ngazi mbalimbali ikiwa ni pamoja na sekondari, vyuo vya ualimu na chuo kikuu.
Remove ads
Alikuwa Profesa katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, ambako alihudumu katika Idara ya Sayansi ya Siasa kwa takribani miaka 30.
Alistaafu kazi yake ya chuo kikuu miaka michache iliyopita na kuanzisha shule ya Raida High School na Kituo cha Kujifunza, anavyovisimamia.
Pia ni mwenyekiti wa bodi ya mfuko wa wanawake Tanzania.[1] na ni mmoja wa waandishi ya makala iitwayo Women and Political Leadership: Facilitating Factors in Tanzania [2]
Ruth Meena alishirikiana na UNRISD kama sehemu ya timu ya utafiti wa Tanzania kwa mradi wa UNRISD juu ya Uchumi wa Kisiasa na Jamii.[3]
Remove ads
Maisha ya awali
Profesa Meena alizaliwa katika familia yenye watoto kumi na wawili, wasichana kumi na wavulana wawili.
Dada yake mkubwa alipoolewa, Meena (akiwa na umri wa miaka mitano) alienda kulelewa kwa dada yake.[4]
Mwaka wa 1968 Profesa Meena alikuwa miongoni mwa wanawake wachache waliochaguliwa kujiunga na Chuo Kikuu cha Afrika Mashariki, ambacho mwaka 1971 kilibadilishwa na kuitwa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, ambapo alihitimu. [5]
Remove ads
kazi
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads