Ziwa Saimaa

From Wikipedia, the free encyclopedia

Ziwa Saimaamap
Remove ads

Saimaa ni ziwa kubwa zaidi nchini Ufini. Linaenea katika km2 4380 za maji. Mto Vuoksi unapita katika Saimaa. Miji iliyo karibu na fukwe za Saimaa ni Lappeenranta, Joensuu, Mikkeli, Imatra, Savonlinna na Varkaus.

Ukweli wa haraka Mahali, Anwani ya kijiografia ...
Remove ads

Tovuti nyingine

Ukweli wa haraka
Makala hii kuhusu maeneo ya Ufini bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Ziwa Saimaa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads