Mmoyomoyo

From Wikipedia, the free encyclopedia

Mmoyomoyo
Remove ads

Mimoyomoyo, miharita au mimwaka ni miti ya jenasi Sapindus katika familia Sapindaceae ambayo matunda yake, yanayoitwa moyomoyo, hutumika kwa kutengeneza aina ya sabuni. Uziduzi wa matunda hutumika kwa kulevya samaki au kuua konokono wa maji ambao wanaambukiza kichocho. Jenasi hii ni jenasi-mfano ya Sapindaceae.

Maelezo zaidi Uainishaji wa kisayansi, Ngazi za chini ...
Remove ads

Spishi za Afrika ya Mashariki

  • Sapindus saponaria, Mmoyomoyo
  • Sapindus trifoliatus, Mmoyomoyo Majani-matatu

Picha

Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mmoyomoyo kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads