Sara Sidner
Mwandishi wa habari Nchini Marekani. From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Sara Sidner (alizaliwa Mei 31, 1972) ni mwandishi wa habari nchini Marekani. Mwandishi wa kimataifa CNN katika ofisi ya CNN huko Los Angeles.[1][2]
Remove ads
Kazi
Sidner alianza kazi yake ya kuripoti habari katika WUFT TV huko Gainesville, Florida. Hii ilifuatiwa na kipindi katika KFVS-TV huko Cape Girardeau, Missouri, WINK-TV katika Fort Myers,la Florida, na KDFW-TV huko Dallas, Texas. Katika KDFW, alitumikia miaka mitatu kama mwandishi. Mnamo Januari 2004, Sidner alijiunga na KTVU, Oakland, California ambapo alifanya kazi katika vipindi vya mwaisho wa wiki katika chaneli ya KTVU katika kipindi cha habari za saa 6 na saa 10:00. Pia aliwahi kuwa mwandishi wa siku ya wiki kwa kituo hicho.
Remove ads
Tuzo
Sidner amepata tuzo mbalimbali kama mwandishi bora wa habari. Tuzo hizo ni pamoja na Emmy Award, Lone Star Award, na Associated Press Awards.
Viungo vya Nje
- Sara Sidner on Twitter
- Sara Sidner at the Internet Movie Database
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads