Sardi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Sardi (kwa Kilidia: 𐤳𐤱𐤠𐤭, Sfar; kwa Kigiriki Σάρδεις, Sárdeis) ulikuwa mji kwa walau miaka 3,500[1], maarufu hasa kama mji mkuu wa Dola la Lidia.
Baadaye ukawa mji mkuu wa mkoa wa Lydia chini ya Waajemi[1](pp1120–1122)[2], tena mji muhimu wa ustaarabu wa Kigiriki na wa Kibizanti.
Tangu karne ya 1 kulikuwa na jumuia ya Kikristo iliyoandikiwa barua katika kitabu cha Ufunuo (3:1-6).
Baada ya kuangamizwa na Timur mwaka 1402, yamebaki maghofu tu katika nchi ya Uturuki, mkoa wa Manisa karibu na mji wa Sart.
Remove ads
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads