Saurimo

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Saurimo ni mji uliopo mashariki mwa nchi ya Angola katika mkoa wa Lunda Kusini. Ndio makao makuu ya mkoa.

Mwaka 2009 idadi ya watu ilikuwa 78,417 [1].

Tazama pia

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads