Sekundulo
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Sekundulo (alifariki karne ya 3) ni kati ya mashahidi wa imani ya Kikristo waliouawa huko Mauretania (katika Algeria ya leo) [1].
Tangu kale aanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kati ya watakatifu wafiadini.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 24 Machi[2][3], pengine pamoja na ndugu yake Romulo.
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads