Sensuri

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Sensuri (kwa Kifaransa: Censure; alifariki Auxerre, leo nchini Ufaransa, 502 hivi) alikuwa askofu wa 8 wa mji huo kuanzia mwaka 472 hadi kifo chake[1][2][3][4].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa kila tarehe 10 Juni[5].

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads