Sentola

From Wikipedia, the free encyclopedia

Sentola
Remove ads

Sentola (Toledo, Hispania, karne ya 3 - Burgos, Hispania, 304) alikuwa msichana Mkristo aliyeuawa kwa imani yake katika dhuluma ya kaisari Masimino.

Thumb
Kifodini chake na cha Mt. Helena[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini[2].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 2 Agosti[3].

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads