Sesili wa Karthago
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Sesili wa Karthago (jina lake kamili kwa Kilatini lilikuwa Caecilianus[1]) alikuwa padri wa mji huo (katika eneo la Tunisia ya leo) katika karne ya 3.
Mtu mwadilifu, ni maarufu hasa kwa kumsaidia Sipriani kuongokea Ukristo (245) [2].
Kabla hajafa, Sesili alimkabidhi Sipriani kazi ya kutunza mke na watoto wake.
Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads