Sfax
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Sfax ni mji mkuu wa wilaya ya Sfax huko Tunisia.
Mwaka 2014 ulikuwa na idadi ya wakazi takribani 330,440[1]. Hivyo ni mji wa pili kwa ukubwa nchini Tunisia, na upo kilomita 270 kutoka mji mkuu Tunisi.
Tazama pia
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads