Sharda Hawaryat

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Sharda Hawaryat ni kati ya Wakristo wanaokumbukwa hadi leo, hasa kwa jinsi alivyounganisha upole wa njiwa na busara wa nyoka[1] kama alivyotaka Yesu.

Hayajulikani mengine kuhusu historia yake, ila tangu kale anaheshimiwa na Kanisa la Kiorthodoksi la Ethiopia kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 1 Oktoba.

Tazama pia

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads