Dreiländerbahn

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Dreiländerbahn (Kiswahili: Reli ya jimbo tatu) ni sehemu ya kazi ya la kampuni la garimoshi ya jimbo Hesse huko Ujerumani.

Eneo

Thumb
Treni za mstari RB29 karibu na Girod

Dreiländerbahn inahudumia na garimoshi ya jimbo Hesse, lakini njia ya reli chache zipo huko jimbo la Rhine-Palatino na Rhine Kaskazini Westfalia pia.

Makao makuu ya Dreiländerbahn ipo kituoni cha reli ya Limburg an der Lahn.

Mistari

Thumb
Treni za mstari RB90 Klkaribu za Langenhahn
Thumb
Treni za mstari RB90 karibu na Elz

Treni

Thumb
Treni za mstari RB29 juu ya daraja karibu na Niedererbach
Thumb
RB96 kituoni cha Herdorf

Treni zinasafiriwa na mafuta, ni treni za manufakturi Desiro, Alstom na Flirt.

Sababu vituo vingi hamna mashine ya tiketi, validatori au teleri ya tiketi, treni zina mashine ya tiketi na validatori ndani.

Umoja wa usafiri wa umma

Mji mkubwa wa Siegen ni mwanachama wa Westfalentariff wilaya wengine wa eneo za huduma za Dreiländerbahn ni wanachama wa Westfalentariff, umoja wa usafiri wa umma wa Rhine-Moselle (VRM), umoja wa usafiri wa umma wa Rhine-Main (RMV) au umoja wa usafiri wa umma wa Rhein-Sieg (VRS).

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads