Sigibaldi
askofu wa Sigibald From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Sigibaldi (pia: Sigibald, Sigebaud; karne ya 7 - 741) alikuwa askofu wa thelathini na nne wa Metz (leo nchini Ufaransa) kuanzia mwaka 716.[1]
Alianzisha monasteri mbalimbali [2][3].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki kama mtakatifu.
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads