Similiani

From Wikipedia, the free encyclopedia

Similiani
Remove ads

Similiani (pia: Similieno, Similien, Similianus, Samblin au Semblin; alifariki Nantes, leo kaskazini magharibi mwa Ufaransa, mwanzoni mwa karne ya 4) alikuwa askofu wa tatu wa mji huo[1][2][3].

Thumb
Kisima cha Mt. Similiani huko Nantes.

Gregori wa Tours alimsifu kwa maadili yake bora[4][5].

Hata leo anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 16 Juni[6].

Remove ads

Tazama pia

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads