Simoni wa Mercurion
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Simoni wa Mercurion (alifariki kwenye mlima huo, mkoa wa Calabria, karne ya 10 BK) anakumbukwa kama mmonaki wa Ukristo wa Mashariki aliyetumwa Afrika kukomboa wenzake waliotekwa na Waislamu kama watumwa.
Baada ya kufanikisha zoezi hilo, aliishi kama mkaapweke hadi kifo chake. [1].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi[2] kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 19 Novemba[3]
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads