Simplisi wa Autun
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Simplisi wa Autun (alifariki Autun, leo nchini Ufaransa, 375 hivi) alikuwa mkabaila aliyechaguliwa kuwa askofu wa mji huo [1] baada ya kuishi katika ndoa bila kufanya tendo la ndoa na mke wake mwadilifu sana [2].
Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu[3].
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads