Sisenandi

shemasi wa Cordoba aliyekatwa kichwa na Waislamu waliotawala nchi hiyo kwa sababu ya imani yake ya Kikristo From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Sisenandi (Beja, Ureno, au Badajoz, Extremadura - Cordoba, Hispania, 851) alikuwa shemasi wa Cordoba aliyekatwa kichwa na Waislamu waliotawala nchi hiyo kwa sababu ya imani yake ya Kikristo [1].

Taarifa zake ziliandikwa na Eulogi wa Kordoba[2] [3].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 16 Julai[4].

Tazama pia

Tanbihi

Vyanzo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads