Sisoi Mkuu
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Sisoi Mkuu (au Sisoes; alifariki 429 hivi) alikuwa mkaapweke wa Misri[1] maarufu kwa misemo yake iliyoripotiwa katika Apophthegmata Patrum (Misemo ya Mababa wa Jangwani)[2].

Misemo hiyo ilikusanywa taratibu ili kudumisha hekima yao nyofu. Kuna pia tafsiri ya Kiswahili: Misemo ya Mababa wa Jangwani (Apophthegmata Patrum) – tafsiri ya W. Ngowi, O.F.M.Cap. – ed. Salvatorianum – Morogoro 2000 –ISBN 0-264-66350-0
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads