Sola wa Husen

From Wikipedia, the free encyclopedia

Sola wa Husen
Remove ads

Sola wa Husen (pia: Solus, Sol, Sualo; Uingereza, karne ya 8 - Solnhofen, Ujerumani, 4 Desemba 794) alikuwa padri mmisionari chini ya askofu Bonifas huko Ujerumani [1][2].

Thumb
Mchoro mdogo wa Mt. Sola wa karne ya 11.

Kwa kujisikia wito wa mkaapweke, alimjuomba ruhusa ya kujifunga kusali tu kati ya Bavaria na Thuringia[3].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 4 Desemba[4].

Remove ads

Tazama pia

Tanbihi

Vyanzo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads