Thuringia

From Wikipedia, the free encyclopedia

Thuringia
Remove ads

Thuringia (Kijerumani: Thüringen) ni moja ya majimbo 16 ya kujitawala ya Ujerumani lenye wakazi milioni 2,251 kwenye eneo la 16.172 km². Mji mkuu ni Erfurt. Waziri mkuu ni Bodo Ramelow (Die Linke).

Thumb
JenaS, Thuringia
Thumb
Mahali pa Thuringia katika Ujerumani
Thumb
bendera ya Thuringia

Jiografia

Thuringia imepakana na majimbo ya Ujerumani ya Saksonia Chini, Saksonia-Anhalt, Saksonia, Bavaria na Hesse.

Miji mikubwa ni pamoja na Erfurt, Jena na Weimar.

Saale na Werra ni mito muhimu zaidi.

Picha za Thuringia

Tovuti za Nje

Ukweli wa haraka
Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Thuringia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Maelezo zaidi Majimbo ya Ujerumani ...
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads