Spartacus

From Wikipedia, the free encyclopedia

Spartacus
Remove ads

Spartacus (jina lilivyo kwa Kilatini; kwa Kigiriki ni Σπάρτακος, Spártakos; 109 KK hivi – 71 KK) kwa mujibu wa wanahistoria wa Kirumi, alikuwa mtumwa hodari wa kupigana kwa upanga (Gladiator) [1] dhidi ya watu wengine au wanyama wa mwituni.

Thumb
Sanamu ya Spartcus mbele ya Makumbusho ya Louvre mjini Paris, Ufaransa.

Baadaye alikuja kutoroka gerezani na kuwa kiongozi wa waasi au watumwa dhidi ya serikali ya Warumi.[2]

Remove ads

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads