Stanislaus Kazimierczyk
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Stanislaus Kazimierczyk (27 Septemba 1433 - 3 Mei 1489) alikuwa padri kanoni wa Kanisa Katoliki nchini Polandi maarufu kwa ibada yake kwa Yesu ekaristi na kwa huruma yake kwa maskini[1][2]. Alijitahidi kuhubiri Neno la Mungu na kuwapa watu huduma za kitubio na uongozi wa kiroho.

Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenye heri tarehe 18 Aprili 1993. Halafu Papa Benedikto XVI alimtangaza mtakatifu tarehe 17 Oktoba 2010.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads