Stanislaus mfiadini

From Wikipedia, the free encyclopedia

Stanislaus mfiadini
Remove ads

Stanislaus mfiadini (kwa Kipolandi:Stanisław Szczepanowski; 26 Julai 103011 Aprili 1079) alikuwa askofu wa Kraków[1] kuanzia mwaka 1072 hadi kifodini chake [2].

Thumb
Mt. Stanislaus.

Kati ya maonevu ya wakati wake, alitetea kwa nguvu zake zote ustaarabu na tunu za Kikristo na kuongoza jimbo lake kama mchungaji mwema akisaidia maskini na kutembelea kila mwaka waklero wake.

Anajulikana hasa kwa kuuawa wakati wa kuadhimisha ibada na mfalme wa Polandi Bolesław II ambaye hakupendezwa na makemeo yake makali [3].

Kwa sababu hiyo Stanislaus alitangazwa mtakatifu mfiadini na Papa Inosenti IV tarehe 17 Septemba 1253.

Sikukuu yake huadhimishwa na Kanisa Katoliki kote duniani tarehe ya kifodini chake[4], lakini pia tarehe 7 Mei na 8 Mei, hasa nchini mwake.

Remove ads

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo ya Kiswahili

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads