Mchungaji mwema

From Wikipedia, the free encyclopedia

Mchungaji mwema
Remove ads
Remove ads

Mchungaji mwema (kwa Kigiriki: ποιμήν ο καλός, poimḗn o kalós) ni namna mojawapo ya Yesu kuwaeleza wafuasi wake yeye ni nani kwao. Ufafanuzi wake unapatikana katika Yoh 10:1-21, anapojitofautisha na wachungaji (yaani viongozi) wabaya, kwa kusema yeye yuko tayari kutoa uhai wake kwa ajili ya kondoo (watu) wake[2].

Thumb
Kristo kama Mchungaji mwema katika karne ya 3 [1].
Thumb
Mchungaji mwema, 300350 hivi, katika Mahandaki ya Domitila, Roma.

Lugha hiyo inategemea Zaburi 23 na sehemu nyingine ya Agano la Kale. Pia inatumika katika Injili nyingine, Waraka kwa Waebrania, Waraka wa kwanza wa Petro na kitabu cha Ufunuo][3].

Mfano huo uligusa sana Wakristo na kuchochea usanii wao tangu mwanzo.

Remove ads

Picha

Tanbihi

Loading content...

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads