Still D.R.E.
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
"Still D.R.E." ni wimbo wa Dr. Dre, umetolewa ukiwa kama wimbo kingozi wa albamu iliopata maplatinam kedekede ya 2001. Wimbo huu umemshirikisha msanii Snoop Dogg mwanzoni, kwenye kiitikio na mwishoni pia.
Remove ads
Historia
Wimbo huu ulikuwa maarufu sana, na ilisaidia albamu hii kufikia kiwango cha maplatinamu mengimengi. Mashairi yake, yaliandikwa pia na Jay-Z (alitumia jina la S. Carter katika maelezo ya vinoti vya albamu) na yanamtaja kuwa Dre amejea kwenye uwanja wa muziki wa hip hop kama kawa. Sampuli ya wimbo:
“ | Kiingereza
Ladies, they pay homage, but haters say Dre fell off/How nigga? My last album was The Chronic. |
” |
“ | Kiswahili
Mabibi, wanatoa heshima, lakini wenyechuki wanasema Dre ameanguka/Inakuwaje washikaji? Albmu yangu ya mwisho ilikuwa The Chronic. |
” |
Wimbo ulitayarishwa na Dre na Mel-Man, akiwa pamoja na Camara Kambon na Scott Storch kwenye vinanda, ambaye aliyetengeneza vinanda mashuhuri vya riff. Iliangia moja kwa moja katika chati za Billboard Hot 100 ikiwa katika nafasi ya 93, lakini haikuchukua muda kwenye chati hiyo ikaondoshwa.
Remove ads
Matayarisho
- Mhandisi - Richard Huredia
- Mhandisi Msaidizi - Jeff Burne , Michelle Forbes , Steve MacAuley
- Vinanda - Scott Storch na Camara Kambon
- Imewekwa sawa na - Brian Gardner
- Imemixiwa na - Dr. Dre
- Imetayarishwa na - Dr. Dre , Mel-Man
- Washiriki wa Kurap - Snoop Dogg
Video yake
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads