Swithun wa Winchester
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Swithun (au Swithin; kiasili Swīþhūn[1]; kwa Kilatini Swithunus; 800 hivi - Winchester, Hampshire, 2 Julai 862 hivi[2]) alikuwa askofu wa mji huo wa Uingereza kuanzia Oktoba 853 hadi kifo chake.

Maarufu kwa maisha magumu na kwa kupenda fukara, alijenga makanisa mengi, aliyoyatembelea daima kwa miguu[3].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waanglikana na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 2 Julai[4] lakini pia 15 Julai.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Vyanzo
Marejeo mengine
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads