Shirikisho la Soka Tanzania

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

'Shirikisho la Soka Tanzania' (au 'Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania: kwa Kiingereza: Tanzania Football Federation' au [[kifupi]: 'TFF') ni shirikisho la kitaifa linalosimamia masuala ya mpira wa miguu nchini Tanzania, ikihusisha Ligi Kuu Tanzania Bara na timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars. Ilianzishwa mwaka 1945 na kusajiliwa kuwa mwanachama wa FIFA mwaka 1964. Raisi wa sasa wa shirikisho ni Wallace Karia.[1].

Remove ads

Shule za Michezo

Mnamo Januari 2008 shirikisho la soka Tanzania kupitia udhamini wa Peter Johnson walianzisha shule ya michezo nchini Tanzania mahususi kwa ajili ya mpira wa miguu maarufu kwa jina la (TSA), shule hoii inalenga kukuza vipaji vya soka nchini Tanzania na inatoa udhamini wa kimasomo kwa wachezaji wadogo.[2][3][4]

Uwanja wa Taifa

Uwanja wa taifa wa Tanzania upo jijini Dar es Salaam. Ulifunguliwa mwaka 2007 ukiwa umepakana na uwanja wa Uhuru, ambao ndio uliokua uwanja wa taifa hapo kabla. Michezo mingi ya Ligi Kuu Tanzania Bara pamoja na michezo ya nyumbani ya timu ya taifa inachezewa katika uwanja huo.

Maraisi

Ligi Kuu Tanzania Bara

Ligi Kuu Tanzania Bara ina jumla ya timu 16 zinazoshiriki katika mashindano, Timu hizo ni pamoja na:[5]

Marejeo

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads