Tapoa
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Tapoa ni mkoa mpya wa Burkina Faso uliotokana na wilaya mojawapo ya Mkoa wa Mashariki nchini Burkina Faso. Mkoa huo uko mashariki kabisa mwa nchi hiyo. Mkoa umepokea jina lake kutokana na mto Tapoa unaopita humo.

Mkoa huwa na eneo la km² 14.572 na idadi ya wakazi mwaka 2013 ilikuwa 430,169[1].
Makao makuu yako mjini Diapaga. Miji mikubwa kiasi mbali na Diapaga ni Namounou na Tansarga. Wakazi wengi ni Wagourmanchema.
Remove ads
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads
