Pofu (jenasi)

From Wikipedia, the free encyclopedia

Pofu (jenasi)
Remove ads

Pofu, mbungu au mbunju (kwa Kiing. eland) ni wanyamapori wa jenasi Taurotragus katika familia Bovidae. Wanatokea savana zenye miti katika Afrika. Wanyama hawa ni wakubwa kuliko spishi nyingine za Bovidae za Afrika. Rangi yao ni kahawianyekundu, kahawia, hudhurungi au kijivu na mara nyingi wana milia ya wima mbavuni. Wana ngozi ndefu chini ya koo lao. Pembe zao ni ndefu kiasi, zile za jike ndefu kuliko zile za dume.

Maelezo zaidi Uainishaji wa kisayansi, Ngazi za chini ...
Remove ads

Spishi

Remove ads

Picha

Ili kupata maelezo kuhusu masanduku ya uanapwa ya spishi angalia: Wikipedia:WikiProject Mammals/Article templates/doc.

Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Pofu (jenasi) kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads