Teodolfi

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Teodolfi, O.S.B. (alifariki Lobbes, Austrasia, leo nchini Ubelgiji, 24 Juni 776) alikuwa abati na askofu[1] ambaye alijitahidi kufuata mifano bora ya watangulizi wake wawili ambao aliagiza maisha yao yaandikwe.

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Kanisa la Kiorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake ni tarehe 24 Juni[2].

Tazama pia

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads