The Way You Make Me Feel

From Wikipedia, the free encyclopedia

The Way You Make Me Feel
Remove ads

"The Way You Make Me Feel" ni wimbo uliotungwa na msanii wa rekodi za muziki wa Kimarekani Michael Jackson. Wimbo huu aliutunga kwa ajili ya albamu yake ya saba ya Bad (1987). Wimbo ulitayarishwa na Jackson na Quincy Jones, ilitolewa ikiwa kama single ya tatu mnamo 1987 na ukawa wimbo mwingine wa Jackson ulioshika nafasi ya kwaza nchini Marekani kwa chati za Billboard Hot 100. Wimbo huu umeimbwa mara chache sana katika ziara za Jackson, na ulifahamika zaidi kwa vile uliimbwa kwenye sherehe za Grammy Awards za mwaka wa 1988.

Ukweli wa haraka Imetolewa, Muundo ...

Michael alitunga wimbo huu kwa kufuatia ombi alilotoa mama yake mzazi, Katherine.

Remove ads

Muziki wa video

Muziki wa video wa "The Way You Make Me Feel", uliongozwa na Joe Pytka, mwakilishi Michael Jackson anaonekana akimkimbiza mwamama (Tatiana Thumbtzen) mitaani. Wakirudi wanakutana na marafiki zake ambao pia wako mtaani. Baadaye anaonekana akimwongoza tena. Michael amempatia umaarufu mwanamama huyo hasa kwa staili zake kali ya kucheza. Video inaishia Michael na mwanadada yule wakikumbatiana.

Orodha ya nyimbo

Toleo halisi

UK single

7" single
  1. "The Way You Make Me Feel" (7" version) – 4:26
  2. "The Way You Make Me Feel" (Instrumental) – 4:26
12" single
  1. "The Way You Make Me Feel" (Extended Dance Mix) – 7:53
  2. "The Way You Make Me Feel" (Dub version) – 5:06
  3. "The Way You Make Me Feel" (A cappella) – 4:30

Toleo la Visionary

CD side
  1. "The Way You Make Me Feel" (7" version) - 4:26
  2. "The Way You Make Me Feel" (Extended Dance Mix) - 7:53
DVD side
  1. "The Way You Make Me Feel" (Music video)
Remove ads

Chati

Maelezo zaidi Chati (1987/1988), Nafasi iliyoshika ...

Marejeo

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads