Theodadi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Theodadi (kwa Kifaransa: Théodard; Montauban, 840 hivi - Montauban, 1 Mei 893) alikuwa askofu mkuu wa Narbonne (leo nchini Ufaransa) kuanzia mwaka 885.

Alikarabati kanisa kuu na kupigania nidhamu. Alipoanza kuugua, alihamia monasteri ya Wabenedikto alipofariki [1].
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads