Theodoro wa Heraklea
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Theodoro wa Heraklea (281 - 319) alikuwa askari wa Dola la Roma aliyefia imani ya Ukristo.

Ndiyo sababu tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu mfiadini.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 7 Februari[1] au 8 Februari.
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads
