Theogene
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Theogene (alifariki 258) alikuwa askofu wa Hippo (leo Annaba nchini Algeria).
Alishiriki Mtaguso wa Karthago ulioitishwa na Sipriani mwaka 250 hivi.
Aliuawa pamoja na Wakristo wengine 36 wakati wa dhuluma ya kaisari Valerian[1].
Augustino wa Hippo aliandika habari zake [2].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 26 Januari[3].
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads