Thomas wa Cantilupe
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Thomas wa Cantilupe (Hambleden, 1218 hivi - Montefiascone, Italia, 25 Agosti 1282) alikuwa kansela wa Uingereza na askofu wa Hereford, akiwajibika kwa uadilifu mkubwa katika siasa na katika uchungaji vilevile.

Mtu mwenye elimu kubwa, alisaidia kwa ukarimu fukara, ingawa alikuwa mgumu kwake mwenyewe [1].
Papa Yohane XXII alimtangaza kuwa mtakatifu tarehe 17 Aprili 1320.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads