Papa Yohane XXII

From Wikipedia, the free encyclopedia

Papa Yohane XXII
Remove ads

Papa Yohane XXII (takriban 12494 Desemba 1334) alikuwa Papa kuanzia mwaka 1316 hadi kifo chake. Alichaguliwa tarehe 7 Agosti 1316, na kuvishwa taji tarehe 5 Septemba mwaka uleule katika mji wa Lyon[1]. Alitokea Cahors, Ufaransa[2].

Thumb
Papa Yohane XXII.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Jacques Duèse.

Alimfuata Papa Klementi V akafuatwa na Papa Benedikto XII.

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads