Tian Shan
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Tian Shan (inayojulikana pia kama Tengri Tagh au Tengir-sana, [1] kwa maana ya Milima ya mbinguni) ni eneo kubwa la milima lililoko Asia ya Kati. Kilele cha juu kabisa katika Tian Shan ni Jengish Chokusu yenye mita 7,493 juu ya UB. Sehemu ya chini ni mwinamo wa Turpan uliopo mita 154 chini ya usawa wa bahari. [2]


Remove ads
Jiografia
Safu za Tian Shan hutenganishakaskazini na kusini ya Turkestan, na pia kuenea ndani ya Kazakhstan, Kirgizia, Tajikistan, Uzbekistan na eneo la Xinjiang kaskazini-magharibi mwa China.
Tian Shan iko kaskazini na magharibi mwa Jangwa la Taklamakan na moja kwa moja upande wa kaskazini mwa Bonde la Tarim. Upande wa kusini inakutana na Milima ya Pamir na upande wa kaskazini na mashariki hukutana na Milima ya Altai ya Mongolia .

Remove ads
Marejeo
Vitabu
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads