Tolemayo bin Eparki
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Tolemayo bin Eparki (alifariki Antinoe, Misri, 305 hivi) alikuwa padri aliyefia imani yake pamoja na Wakristo wengine 3687 wakati wa dhuluma ya kaisari Dioklesyano[1].
Tangu kale wote hao wanaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama watakatifu wafiadini.
Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 25 Septemba.
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads