Tomais wa Aleksandria
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Tomais wa Aleksandria (aliuawa 476) alikuwa mwanamke Mkristo wa mji huo wa Misri aliyekataa kuzini na babamkwe wake ambaye kwa sababu hiyo alimkata vipande viwili kwa upanga [1].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu mfiadini.
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads