Tongo

From Wikipedia, the free encyclopedia

Tongo
Remove ads

Tongo ni ndege wadogo wa jenasi mbalimbali katika familia Estrildidae ambao wanatokea Afrika na Asia. Wanafanana na mishigi lakini rangi zao ni nyeusi, kijivu, kahawia na nyeupe tu.

Maelezo zaidi Uainishaji wa kisayansi, Ngazi za chini ...

Hula mbegu hasa, lakini wadudu pia, hususa makinda.

Tago lao ni tufe la manyasi lenye mwingilio kwa kando. Jike huyataga mayai 2-7.

Remove ads

Spishi za Afrika

Remove ads

Spishi za Asia

Remove ads

Picha

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads