Torlaki
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Torlaki (pia: Thorlak kutoka Kiiceland: Þorlákur; Fljótshlíð,, Iceland, 1133 – Skálholt, iceland, 23 Desemba 1193) alikuwa kanoni katika monasteri aliyoianzisha, halafu askofu wa Skálholt kuanzia mwaka 1178 hadi kifo chake, aliyejitahidi kuinua uadilifu wa waklero na waumini kwa jumla [1].
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu. Papa Yohane Paulo II alithibitisha heshima hiyo tarehe 14 Januari 1984.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads