The Don Killuminati: The 7 Day Theory

From Wikipedia, the free encyclopedia

The Don Killuminati: The 7 Day Theory
Remove ads

The Don Killuminati: The 7 Day Theory ni albamu ya mwisho ya Tupac Shakur, chini ya jina jipya la Makaveli, aliimaliza kabla ya kifo chake na ya kwanza kutolewa baada ya kifo chake. Shakur alikamilisha ubunifu wa kila na kuweka jina la kava la albamu alama ambayo inaonyesha kiasi vyombo vya habari jinsi walivyomsulubisha. Albamu ilikamilika kabisa katika kipindi cha siku saba katika kipindi cha mwezi wa Agosti 1996[2]. Mashairi yaliandikwa na kurekodiwa katika siku tatu pekee na kui-mixi na kuchukua siku nyingine nne kwa kuikamalisha kabisa. Hizi ni miongoni mwa nyimbo zake za mwisho kabisa kabla ya kuuawa kwake mnamo 7 Septemba 1996.

Ukweli wa haraka Imetolewa, Imerekodiwa ...
Remove ads

Orodha ya nyimbo

Maelezo zaidi #, Jina ...

Chati za Albamu

Maelezo zaidi Mwaka, Albamu ...

Single

Maelezo zaidi Maelezo ya wimbo ...
Remove ads

Marejeo

Viungo vya Nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads