All Eyez on Me

Albamu ya mwaka 1996 na 2Pac From Wikipedia, the free encyclopedia

All Eyez on Me
Remove ads

All Eyez on Me, ni albamu mshindi-Grammy ya nne ya rapa wa West Coast, 2Pac. Ilitolewa mnamo tar. 13 Februari 1996, na kuuza nakala zaidi ya milioni 1 ndani ya masaa yake manne ya kutolewa, na kuifanya iwe albamu ya kwanza kwenda kwenye platinamu haraka sana hakuna tena.[2] Hii ilikuwa albamu ya mwisho kutolewa na 2Pac wakati wa maisha yake, akaja kufa miezi 7 kamili baadaye kunako tar. 13 Septemba katika mwaka wa 1996.

Ukweli wa haraka Studio album ya 2Pac, Imetolewa ...

Albamu hii huhesabiwa kama moja kati ya kazi 2Pac zilizofanya vizuri hakuna, na huonekana kama moja kati ya albamu zilizopiga hatua kubwa kimafanikio katika muziki wa rap hasa kwa miaka ya 1990.[3] Ilikuwa ikiitwa kama "kazi bora ya 2Pac ambayo haijawahi kurekodiwa"[4]. About.com wataalamu wa rap wameipa All Eyez On Me nafasi ya 80 katika orodha yao ya albamu kali 100 za muda wote.[5] Kwa mujibu wa RIAA, albamu hii ni miongoni mwa albamu za rap ziliouza vizuri kwa muda wote, kwa kuuza zaidi ya nakala za albamu milioni 11 katika Marekani peke yake mnamo mwezi wa Aprili 1996. Albamu ilitunukiwa platinamu 12 mnamo mwezi wa Juni 1998 na RIAA. Albamu pia ilikuwa vibao vikali namba moja kwenye chati za Billboard 100: How Do U Want It na California Love.[6]

Remove ads

Orodha ya nyimbo

Book 1

Maelezo zaidi #, Jina ...

Book 2

Maelezo zaidi #, Jina ...
Remove ads

Single

Maelezo zaidi Maelezo ya Single ...

Historia ya chati

Albamu

Maelezo zaidi Chati (1996), Nafasi iliyoshika ...

Single

Maelezo zaidi Mwaka, Single ...

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya Nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads