Triviero
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Triviero (Neustria, leo nchini Ufaransa, karne ya 5 - Dombes, Ufaransa, 550 hivi) alikuwa mmonaki, halafu padri, na hatimaye mkaapweke karibu na Lyon[1].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 16 Januari [2].
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads