Tudful

From Wikipedia, the free encyclopedia

Tudful
Remove ads

Tudful (pia: Tydfil) alikuwa mwanamke Mkristo wa Wales[1] aliyefia dini mwaka 480 hivi.

Thumb
Kioo cha rangi kikimuonyesha Mt. Tudful katika kanisa kuu la Llandaff, Wales.

Mtoto wa mfalme Brychan, alipata malezi bora upande wa elimu na maadili[2] kabla hajauawa na Wapagani.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu bikira mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 23 Agosti.

Tazama pia

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads