Turiavo wa Dol
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Turiavo wa Dol (pia: Turiaf, Thivisiau, Tuien, Turiav, Turiave, Turiavus, Turien, Turiano; alifariki 750 hivi) alikuwa abati na askofu huko Bretagne, leo nchini Ufaransa [1].
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads